![]() |
| hao ni wake wenza Winnie na Graca Mandela wakibembelezana |
| watu mashughuli mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho namuona rais wangu JK from TANZANIA |
| mwili wa marehem kwente jeneza |
kila la heri huko uendako MADIBA
TUTAKUKUMBUKA NA KUKUENZI KWA MEMA YAKO
MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
AMINA








