M h jamani huu mwaka tumeuanza vibaya haswa kwa upande wa wasanii
hatuna mengi ya kusema
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI
AMINA
Thursday, May 30, 2013
Tuesday, May 21, 2013
MUNGU ATUNUSURU JAMANI
KUMBUKUMBU
NI MIAKA 17 SASA IMEPITA TANGU KUTOKEA KWA AJARI HIYO WE ARE STILL REMEMBER OUR FELLOWS WHO LOST THEIR LIVES.
MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEME PEPONI
AMIN
MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEME PEPONI
AMIN
Sunday, May 19, 2013
Saturday, May 11, 2013
HAPPY MOTHER'S DAYME
Friday, May 10, 2013
polisi waua mtoto tarime
polisi wilayani Tarime imemuua mtoto DEO YAKOB miaka 9 mkazi wa tarime wakiwa katika pilikapilika za kukamata majambazi wanaua na kuiba katika mpaka wa Kenya na Tanzania. bado haijafahamika ilikuwaje mpaka mtoto kapigwa na pia haijafahamika kama hao Majambazi wamepatikana au la.
R.I.P DEO
R.I.P DEO
LUGHA GONGANA
Itabidi mambo mengine ujiongeze mwenyewe maana kwa style hii utakesha ukiwa unasoma kila sign inayokuelekeza ukiwa barabarani
Thursday, May 9, 2013
Sunday, May 5, 2013
mlipuko watokea kanisani leo huko Olasiti Arusha leo
huyo ni mh Joshua S. Nasari mbuge wa Meru akichangia damu kwa ajiri ya majeruhi |
huyo ni majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza |
hapo ni eneo mlipuko ulipotokea na maaskari wakifanya kazi yao |
POLENI WOTE MLIPATWA NA MKASA HUO MUNGU AWAPONYE MAPEMA
-- AMEN --
Saturday, May 4, 2013
watoto wa CHIPUNGAHELO nao haoooooooooooooooooooooooooooo
Thursday, May 2, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)