Sunday, March 23, 2014
BIASHARA YA VIATU
jamani hivyo iatu vinauzwa ni vya cultire kama unavyoviona
vimenakshiwa kwa shanga za rangi mbalimbali
vipo vya kila aina na kila size
so usihofu kuhusu style na size
bei ni Tsh 38000 pia inapunguia kama kawaida yetu wabongo hapa sio supermarket teh teh
pia usijali kuhusu bei
viatu vipo jiji la dar es salaam lakin kama upo mbali hakuna tatizo
kwa kuwa ndio twaanza biashara kama unahitaji piga simu namba 0768511935 hiyo namba pia inapaitkana whatsapp so kama unahitaji unawasiliana na huyo mrembo
MWANAMKE UJASIRIAMALI JAMANI
KILA LA HERI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment