Victoria Beckham ametajwa katika Tunzo mbili kuu British Fashions Awards ambazo ni Brand of the year na brand Desgner who creat Brands awareness
kumbuka mwana mama huyo anashindana na watu mashuhuri kama
Burberry, McQueen, WOW na Antonio Berardi
kila la heri mama ake Harper
hope to see with Awards
all of them
Tuesday, October 29, 2013
Monday, October 21, 2013
TANZIA
Friday, October 18, 2013
maonesho mengine!!!!!!!!!!!!!!!!!
hayo ni maonesho ya maiti( halloween corpse display)
mhhhhhhhhhhh
jamani hata sijui ndio ubunifu au nini
na kuna watu wanaenda kushuhudia???
polise waliwaagiza wayachane
hata mie nawasupport hao polisi kwa hili
mhhhhhhhhhhh
jamani hata sijui ndio ubunifu au nini
na kuna watu wanaenda kushuhudia???
polise waliwaagiza wayachane
hata mie nawasupport hao polisi kwa hili
Thursday, October 17, 2013
kitchen party ya my shostie Vikie
hapo ni Rose kati ti mimi(ummy) na Hollo |
vikie akiwa na mama zake |
akipewa usia na mama mzazi |
mashostie tukijirusha na bibie |
mwendo wa kuruka tu |
zawadi kutoka kwa mashosti |
zawadi zikiendelea |
msosi |
mwenyewe mke mtarajiwa wa Frank Kitanile |
soooooooooooooo
sina mengi
Mungu yupo nawe all the time
Subscribe to:
Posts (Atom)