muonekano wa hotel juu na chini maji |
hotel ikiwa ndani ya maji |
hoteli yenyewe inavyonekaana |
muonekano wa vyumba kwa ndani |
hotel mpya huko kisiwani Zanzibar huko maeneo ya Pemba
Hoteli hyo iliyopo chini ya maji kama picha zinavyoonesha imekuwa ndio Habari ya Mjini!!!!
manta ambayo inagharimu dola za marekani $900 kwa mtu mmoja au single na $1500 kwa watu wawili au double!
samahanini mta fanya mabadiliko nyie wenyewe kwenye fedha ya kwenu maana mmmmhhhh!
haya kwa wale watalii karibuni saaaana kweeetu
hii ndio Tanzania yetu