nakutakia kila la heri katika siku yako ya kuzaliwa
Mungu awe pamoja nawe kila siku
akupe maisha marefu na yenye furaha telee
once again
HAPPY BIRTHDAY MAMIE aka ZEZE
ni miaka 32 kwa Kate Middleton mama wa Prince William!!!!!!!!!!!!!!!!
hongera mamaaaa
Mungu akulinde na kukuongezea furaha katika maisha yako ya kila siku