Sunday, March 23, 2014

BIASHARA YA VIATU





jamani hivyo iatu vinauzwa  ni vya cultire kama unavyoviona
  vimenakshiwa kwa shanga za rangi mbalimbali
   vipo vya kila aina na kila size
     so usihofu kuhusu style na size
                 bei ni Tsh 38000 pia inapunguia kama kawaida yetu wabongo hapa sio supermarket teh teh
               pia usijali kuhusu bei
 viatu vipo jiji la dar es salaam lakin kama upo mbali hakuna tatizo
  kwa kuwa ndio twaanza biashara kama unahitaji piga simu namba 0768511935 hiyo namba pia inapaitkana whatsapp so kama unahitaji unawasiliana na huyo mrembo
          MWANAMKE UJASIRIAMALI JAMANI
                     KILA LA HERI

Saturday, March 8, 2014

HAPPY WOMEN'S DAY



nawatakia wanawake wote DUNIANI  siku ya amani na furaha kwao
 tufurahi na wenzetu wa kiume jamani kwani kama hakuna mwanaume
pia hakuna mwanamke.
             wosia wangu tu kwa wanawake wenzangu tupendane na kusaidiana pindi unapoona mwanamke mwenzio ana tatizo na wewe unaweza kumsaidia jamani tusaidiane pia tuoneane huruma wenyewe kwa wenyewe wanawake wenzangu
                ni hayooo tu kwa mwaka huu 2014
           NAWAPENDA WOOOTE WANAWAKE WA DUNIANI HII


                 "EQUALITY FOR WOMEN IS PROGRESS FOR ALL"
                                  ' ÍNSPIRING CHANGE'

       About IWD ( INTERNATIONAL WOMEN'S DAY)

         The United Nations began celebrating International Women’s Day (IWD) on 8 March during International Women’s Year 1975. Two years later, in December 1977, the General Assembly adopted a resolution proclaiming a United Nations Day for Women’s Rights and International Peace to be observed on any day of the year by Member States, in accordance with their historical and national traditions.
     International Women’s Day first emerged from the activities of labour movements at the turn of the twentieth century in North America and across Europe. Since those early years, International Women’s Day has assumed a new global dimension for women in developed and developing countries alike. The growing international women’s movement, which has been strengthened by four global United Nations women’s conferences, has helped make the commemoration a rallying point to build support for women’s rights and participation in the political and economic arenas.
Increasingly, International Women’s Day is a time to reflect on progress made, to call for change and to celebrate acts of courage and determination by ordinary women who have played an extraordinary role in the history of their countries and communities.