Saturday, April 26, 2014

Happy muungano april 26

Nawatakia heri ya siku ya muungano watanzania wenzangu wote. Mungu atusaidie muungano wetu uendelee kwa amani kama tulivyoishi miaka 50 iliyopita
HAPPY MUUNGANO DAY
     TANZANIA
      NAKUPENDA NCHI YANGU

Sunday, April 20, 2014

lets vote for Diamond PlatnumZ babbbbyyyyyy


 ili kumpigia kura kwenye MTV andika neno www,mtvbase.com  halafu click NOMINEES ARE  IN. vote for youy fav artist halafu clik VOTE NOW utaletewa categories mbalimbali chagua  BEST MALE chini ya picha zao utakuta mshale ukibonyeza utaletewa majina chagua DIAMOND (tanzania) then weka email yako halafu click CAST MY VOTE hapo utakuwa umemchagua kama BEST MALE
        ili kumchagua katika BEST COLLABORATION  utafata process hizohizo













pia tumpigie katika kill music awards
mpigie  kura kwa sim yako ya mkononi kwa kutuma neno S 156 kwenda namba15747 kwa Video bora ya mwaka.. T 156 kwenda namba 15747 kwa wimbo bora wa AFRO-POP wa mwaka.. B 107 kwenda namba 15747 kwa Msanii bora wa kiume wa mwaka.. na C 107 kwenda namba 15747 kwa Mwimbaji bora wa kiume.... tafadhari naomba kura yako.
LETS VOTE FOR HIMM
WE HAVE PLENTS OF REASONS TO DO SOOOOO
 SOOOOOOOOOOOOOOO
   LETS KEEP VOTING

Wednesday, April 16, 2014

hellow royal babyyy

Kate akiwa mtoto wake Prince George
royal family hiyoo
jamani mtoto kwa mwenzako anakuwa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 yaan kama jana tu kamezaliwa et sasa hivi ameshakuwa hivyo. hongera   mwaya Kate na prince wiiliam kwa kulea .
            familia hiyooo ya kifalme ipo katika tour ya siku 10 huko Austraria na New zealand.