Wednesday, May 28, 2014

R.I.P Rachel Raule

poleni wana bongo movie na watanzania wenzangu kwa ujumla. ila pole zaidi kwa familia ya Rachel. jamani kama mwanamke ambaye nafatilia kwa karibu uhusianao wa mama na mtoto as my blog say hii imeniuma saana.
     kupoteza watu wawili kwa wakati mmoja ni uchungu mkubwa ambao binadamu anatakiwa kuukabili maana tunaamini ni mapenzi ya mungu pia
         lakini ni mpaka lini tutakuwa tunalia na vifo vya mama na mtoto au mama au mtoto? tufike wakati watanzania wanawake tusiine kubeba mimba ni nusu ya kifo jamani wanawake wengi tumewapoteza katika uzazi
        hebu tufikie hatua ya mtu kutamani kubeba mimba na kuwa na uhakika wa kujifungua salama na kurudi kwake salama/ saaawa tunajua kuna Mungu ambaye anaamua lini amchukue nani katika style ipi but sometime tunaweza kujitahidi katika mengine haswaaa katika maswala ya mama na mtoto
             pleeeease serikali yetu tunaomba mjitahidi kwa hili ingawa mnasema mmepunguza vifo vya uzazi kwa aslilimia kazaa tunaomba ifike asilimia 00.
       kwa kumbukumbu yangu huyu ni msanii wa pili wa kike anayekufa kwa swala la uzazi mwingine ni yule muimbaji wa taarabu.
 swwwwwwwwwwwwwwwaaali je hao ambao hawajulikani ni wangapi kwa siku wanafariki?
             chonde chonde mtulinde wanawake na watoto jamani ni nguzo ya taifa lolote dunian
               bila mwanamke hakuna mtoto bila mtoto hakuna kijana bila kijana hakuna taifa.
 TANZANIA BILA VIFO VYA UZAZI INAWEZEKANA   
           ANZA   SASA KUTIMIZA WAJIBU WAKO
 MKUNGA TIMIZA WAJIBU WAKO
 MAMA TIMIZA WAJIBU WAKO
 SERIKALI TIMIZA WAJIBU

Mungu akulaze pema peponi ..............................amina

PHOTO: Dr. Maya Angelou is seen in this Nov. 3, 2006 file photo.

 hizi ni my favorite statement from her
 
"If you have only one smile in you, give it to the people you love."
"The truth is, no one of us can be free until everybody is free."
"I'm a woman Phenomenally."
"Nothing can dim the light which shines from within."
"Nothing will work unless you do."
"If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude. Don't complain."
"People will forget what you said, people will forget what you did, but people will never forget how you made them feel."
“Everything in the universe has a rhythm, everything dances."
"While one may encounter many defeats, one must not be defeated."
"My great hope is to laugh as much as I cry; to get my work done and try to love somebody and have the courage to accept the love in return."
  they are words indeed
  you are always my favorite
            R.I.P

Sunday, May 11, 2014

Happy proudly mother's day

Jaman sio kila mama anastahil kusherehekea hii siku ndio maana nikasema proudly mothers maana wengne wanaficha kama wana watoto wengne wamewauwa watoto wao.
  Naomba mfaham kuwa sio kila mwanamke anaweza kuwa mama so kama wewe umependelewa na Mungu kuwa miongon mwao be proud of it.
   Mi napenda kuwapongeza wamama wote wanaojivunia kuwa mama licha ya kuwa wamewalea watoto peke yao
Au waliokuwepo kwenye ndoa
Au waliolea wazazi wawil
You are the best mothers in the world
  The great thing to your child
  No matter what happen you were there for them
To rise them
To encourage
To comfort
To strengthen

   HAPPY MOTHERS'S DAY

Friday, May 9, 2014

PLEEEAASSS BRING BACK OUR SISTERS AND DAUGHTERSSSS

Hivi ni kweli hamna dada wala watoto wa kike kwenu kiasi cha kutowaonea huruma dada na watoto wa wenzenu jamani
               pleeeeeaas we need them in our lives sooooooooooooooooooooooo
tunawaomba muwarudishe watoto wetu na dada zetu kama kudeal mdeal na wakubwa wenzenu kama maraisi na wanasiasa wenzenu but those girls hawana kosa lolote 
                     human right mpo kona gani kwa hili?????
                    je UNICEF  mpooooooooooooooooo?
                     bila kuwasahau wanawake ulimwenguni kwa pamoja
since wameingilia mlango there should be no mercy for them
  eee Mungu walinde dada zetu  huko walipo
        amina.