Saturday, August 23, 2014

Sooooo sad

Pichani ni baba na watoto wake.jana jion baba aliandaa party ya kuiaga familia yake kwani yeye anafanyakazi UN. Akiwa njian anarud na familia yake alikutana na vijana wa bodaboda maarufu Toyo wakimtaka asimame baba huyu hakusimama na badala yake aliongeza  mwendo hao vijana kwenye toyo walianza kurusha risasi ila huyu baba hakusimama walivyofika mbali ndio baba anaona mwanae mwenye umri wa miaka 4 anatoka damu machoni kumwangalia akagundua alipigwa risasi ya kichwani alijitahid kumwahisha Mount Meru hospitali lakin mtoto alifariki
  Jamani naomba nijulishwe Arusha kuna mpango gani na hii nchi yetu. Maaana imepitiliza yaan its toooooo much.haaa!
Kila tukio la mauaji ni mkoa huu kwani kuna nini?
Au hao wauwaji wa kukodi Arusha wanapatikana kwa bei nafuu kuliko mikoa mingine?

Jamani kama sio Tanzania vile maana kila kukicha Arusha ni sheeeedah.
Masikini baba wa watu mwenyewe kaandaa party ya kuiaga familia yake kumbe anamuaga binti yake bila kujua.

Friday, August 22, 2014

Sijui ni umaarufu au ni mkwanja

khaaaaaaaaaaaaaaa haya matangazo mengne mweeeee
jamani huko tunapoelekea sasa siko kabisaaa
   hebu mcheki mwanamitindo huyu amepiga picha za
utupu katika mapozi ya matangazo ya TOMFORD"BLACKORCHID"
Mrembo huyo kwa jina la CARA DELEVINGNE raia wa Britain.
mweeeeeeeeeeeeee ndio maana nauliza ni pesa au umaarufu mpaka mtu unafikia huku
Rihana alifungiwa kwa mambo hayahaya instagram sasa sijui hawa