Sunday, September 28, 2014

Happy birthday Wema Sepetu

Leo ni siku muhm sana kwako kwani siku kama ya Leo ulizaliwa. Minzahblog inakutakia maisha mema na yenye baraka tele.
HAPPY BIRTHDAY WEMA!

Hebu tuchek instagram ilichafukaje kuhusu wema. Jaman kiukweli wema anapendwa saaaana.

Kila la  heri teamwema

Saturday, September 27, 2014

Tunaomba wafadhili shuleni kwetu

shule ya sekondari LERAI iliyopo mkoa wa KILIMANJARO wilaya ya HAI inaomba wafadhili ambao wataweza kuisadia shule hiyo ili kutimiza lengo la serikali la elimu bora kwa wananchi wake
 shule imezungukwa na wafugaji jamii ya kimasai kwa hiyo bado mwamko wao kuhusu elimu sio mzuri hivyo basi wanashindwa kujenga madarasa na kusababisha wanafunzi kusoma chini ya mti
1) Tunaomba wafadhili wa kuweza kusomesha wanafunzi kwa maana ya kuwalipia ada kwani wazazi hawawalipii ada watoto wao na kusababisha otoro na mimba kila mwaka
2) Wafadhili wa kujenga madarasa ili kusaidia wanafunzi kuwa katika eneo zuri la kusoma
3) Wafadhili wa kuwajengea jiko na bwalo ili kuwepo na eneo maalum la kulia haswa wakati wa mvua wanapata shida sana
4) Wafadhili wa kutujengea hostel ili kutusaidia kuwaweka wanafunzi katika usalama lakini pia kuwapunguzia mwendo wa kutembea kwani kwa sasa wanatembea kati ya kilomita 3 mpaka 9 kuja shule

 4) Wafadhili wa kutujengea hostel ili kutusaidia kuwaweka wanafunzi katika usalama lakini pia kuwapunguzia mwendo wa kutembea kwani kwa sasa wanatembea kati ya kilomita 3 mpaka 9 kuja shule

hao ni wanafunzi wakiwa wanasoma nnje

hili ndio jiko la shule

hilo ni jengo lilijengwa kwa msaada wa serikali ya Tanzania chini ya TASAF vyumba ni 3 tu na kimoja kati yake ndio ofisi ya walim kwa hiyo vimebaki viwili na wanafunzi wapo mpaka kidato cha nne

wakiwa kwenye kipindi 


kwa yeyote aliyeguswa tunaomba awasiliane kwa email hii
  ummieyy2@yahoo.ca
au minzagambula@gmail.com
 mnakaribishwa kutoa mchango wenu hii ni kwa dunia nzima
  SAMBAZA UPENDO
 MPE ELIMU AELEWE NA SIO PESA ATATUMIA NA KUZIMALIZA NA KURUDIA TENA KUOMBA
PAMOJA TUKISHIRIKIANA TUTAWEZA

Friday, September 5, 2014

R.I.P Joan Rivers

Tulikupenda sana ila Mola alikupenda zaidi. Pole ndugu na jamaa na watu wote wa fashion dunian.
Mbele yetu nyuma yako
Kalale Pema Peponi
      AMINA