Mashost katika ubora wetu
Monday, December 14, 2015
Tuesday, December 8, 2015
Tuesday, April 14, 2015
Mhhhhh hii kareeee
Mhhh wabongo hatuishiwi vituko kila kukicha.
Ona hii imejaa kwenye mitandao ya kijamii. Nimeona sio mbaya kukuonesha nawe pia
Nimenukuu toka instagram"
ZUIA AJALI
Mungu atunusuru Ndugu zangu tumeona ongezeko kubwa la ajali za
barabarani, lakini na sisi abira tumekuwa
tukichangia kwa kuwa tumo ndani mabasi na
tunaona dereva anakwenda mwendo kasi na
tunabaki kimya.
kuanzaia leo tukiona dereva ana hatarisha
maisha yetu piga no. za makamanda wa usalama
barabarani hivi hapa kwa kufanya hivyo tutakuwa
tunaepuka ajali na kuwaokoa watanzania wenzetu.
NAMBA ZA SIMU ZA WAKUU WA POLISI USALAMA
BARABARANI (T) BARA (RTOs)
S/N MKOA NAMBA YA SIMU
1 DSM ZONE 0713-224848
2 ARUSHA 0658-376067
3 DODOMA 0658-376093
4 GEITA 0658-376491
5 ILALA 0658-376476
6 IRINGA 0658-376053
7 KAGERA 0658-376475
8 KATAVI 0658-376507
9 KIGOMA 0658-376077
10 KILIMANJARO 0658-376016
11 KINONDONI 0658-376478
12 LINDI 0658-376074
13 MANYARA 0658-376058
14 MARA 0658-376035
15 MBEYA 0658-376472
16 MOROGORO 0658-376044
17 MTWARA 0658-376020
18 MWANZA 0658-376082
19 NJOMBE 0658-376498
20 PWANI 0658-376012
21 RUKWA 0658-376025
22 RUVUMA 0658-376038
23 SIMIYU 0658-376484
24 SINGIDA 0658-376028
25 SHINYANGA 0658-376048
26 TABORA 0658-376097
27 TANGA 0658-376003
28 TARIME/RORYA 0658-376474
29 TEMEKE 0658-376477
Saturday, April 11, 2015
Hongera Hamisa kidomo
Kuwa mama ni kazi ya milele haina likizo, sikukuu, malipo, malupulupu lakini ina raha yake jamani
Wangapi wanaitamani hii hali lakini hawajaipata
Wangapi wametumia hela zao lakini hawajafanikiwa?
Wangapi wameenda kwa waganga na bado hawajampata?
Kuwa mama ni faraja sana. Mpende mama yako kadri uwezavyo
Hongereni wote mlioamua kuwa mama na mko tayar kuwatunza watoto wenu kwa hali na Mali
Hongera Hamisa pamoja na kuwa maarufu hukuonekana gazet lolote wala kutolewa sifa yoyote
I wish mastaa wengne wangekuwa kama wewe though wapo pia waliofanya hivyo
BE PROUD OF YOURSELF
Friday, April 10, 2015
MGOMO WA MADEREVA TZ
Madereva wa mabasi ya mikoani wamegoma kufanya safari zao za kuelekea mikoa mbakimbali nchini na nje ya nchi
Hii imeleta shida kwa wasafiri kwani wameenda kwa ajili ya kusafiri badala yake wamekutana na mgomo huo
Poleni ndugu zangu haya ni mambo ya kawaida haswaa wakat wa karibu wa uchaguzi mkuu
Serikali tunawaomba mkae nao vizuri na mmalizane nao mapema ili huduma irudi mapema maana mambo mengi yanasimama kwa kutokana na mgomo na ukizingatia weng wetu hatunauwezo wa kupanda ndege.
Wednesday, April 8, 2015
UGAIDI GARISA
GAIDI MTANZANIA SHAMBULIZI LA GARISA NI
MWENYEJI WA MWANGA
Taarifa zinazoendelea kutolewa na vyombo vya
usalama vya Kenya zimesema Rashid Charles
Mberesero aliyekamatwa kuhusika na shambulizi
la kigaidi lililofanywa na wapiganaji wa kikundi
cha Al-Shabab kwenye chuo kikuu cha Garisaa
ambapo watu 148 wameripotiwa kuuawa,
anatokea Usangi katika wilaya ya Mwanga mkoa
wa Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya amesema
kwamba Rashid alikamatwa akiwa amejificha juu
ya dari la moja ya majengo ya chuo cha Garissa
ambapo baada ya uchunguzi ilidhihika kuwa
hakuwa mwanafunzi wala mkaazi katika chuo
hicho. Pia alipokamatwa alipatikana akiwa na
mabomu kadhaa ya milipuko.
Kufuatia taarifa hizi Mbunge wa Mwanga ambaye
pia ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne
Maghembe alisema “Nimeshtushwa sana na
taarifa hizi. Ninaufahamu ukoo wa Mberesero
ambao wanafamila wake wengi ni wakristo. Kwa
wakati huu ni vyema tukaviachia vyombo vya
usalama kufanya uchunguzi wa kina kuhusu
suala hili.”
Rashidi
Charles ni mjukuu wa mzee Mberesero mmiliki
wa kampuni ya Ngorika bus,kwao ni Kisangara
Mwanga na siyo Usangi.kinacho shangaza siyo
dini bali utulivu aliokuwa nao huyo kijana,huwezi
kudhania ni kwanini amejiingiza kwenye vitendo
hivyo kwavile kama ni swala la pesa kwao
zimejaa.ama kweli umdhanie siye ndie.
sasa, huyo rashid mberesero ni mtoto wa Charles mberesero wa mke wa nje na nasikia anasema walifunga chuo Dodoma wakaenda Kenya kwa ajili ya kuvamia chuo cha garissa, huko Kenya walikutana na wenzao (wasomali) na walikuwa tarehe tano wavamie uwanja wa taifa dsm kulikuwa na tamasha la pasaka.
Tuesday, January 27, 2015
pumzikeni kwa amani watoto
watoto hao mwamvua mrisho miaka 4 na mdogo wake sudi miezi 4 walikutwa wamefukiwa ndani ya nyumba waliokuwa wakiishi
loooh sijui dunia inaelekea wapi jamani kweli kabisaaa mi hata siekewi. unaanzaje kuwauwa wanao uliowazaa kwa uchungu kwa kisingizio kuwa hutoweza kuwahudumia
na nyie wanaume aliyesema wanawake ndio wakulea watoto peke yao ni nani? kama huwezi kuwahudumia hebu waachane wabaki na Mungu kwani huko wanapatiwa kila hitaji sio kuwaleta duniani na kuwatesa jamani
eeeeeeeeeeeeeeMungu tuhurumie sie waja wako
hatujajua tuyatendao yanakukera kwa kiasi gani
pumzikeni kwa amani watoto