Hongera kwa kweli umeisimamisha nchi yetu kwenye kilele katika upande wa mpira tunaomba uongeze bidii next time tukuone kidunia zaidi. Tunafahamu juhudi zilkuwa binafsi ila kwa kuwa ni ushindi kwa hyo hatuna budi kusherehekea Tanzania nzima.
Hope muda si mrefu Elizabeth Michael (lulu) na yeye atatupigia picha ya usingiz mnono na pembeni kaweka tunzo. Maana limekuwa pozi la utambulisho kwetu na kwakweli ni zuri kuliona.
#2016forTanzanian#