Saturday, January 9, 2016

Hongera Mbwana Samatta

Hongera kwa kweli umeisimamisha nchi yetu kwenye kilele katika upande wa mpira tunaomba uongeze bidii next time tukuone kidunia zaidi.  Tunafahamu juhudi zilkuwa binafsi ila kwa kuwa ni ushindi kwa hyo hatuna budi kusherehekea Tanzania nzima.

Hope muda si mrefu Elizabeth Michael (lulu) na yeye atatupigia picha ya usingiz mnono na pembeni kaweka tunzo.  Maana limekuwa pozi la utambulisho kwetu na kwakweli ni zuri kuliona.
#2016forTanzanian#

Monday, January 4, 2016

Kweli kabisaaa

Watu wanaona tu mafanikio yako na kuyataman lakini wakat unayatafuta walikuwa hawana hzo habari.

Friday, January 1, 2016

Happy new year 2016

May 2016 be your year of your dreams your fantasy your fulfilment
Happy New year 2016