wapo wanaosema mtoto atakuwa na nyota ya CANCER na wengine LEO. kama DUCHESS huyo wa CAMBRIDGE atajifungua leo kabla ya saa 6 usiku mtoto atakuwa CANCER na kama atajifungua kuanzia saa 6 usiku na kuendelea atakuwa LEO.
hebu ucheki umati wa watu ulivyofunika huko kwake kumngoja mtoto huyo wa kifalme
hapo ni bibie Kate akishuka kwenye gari kuelekea hospita ya ST MARY'S |
HUO NI UMATI WA WATU UKIMSUBIRI MTOTO |
Watu wakimsubiri mtoto |
pole mwaya kwa maumivu
No comments:
Post a Comment