shule imezungukwa na wafugaji jamii ya kimasai kwa hiyo bado mwamko wao kuhusu elimu sio mzuri hivyo basi wanashindwa kujenga madarasa na kusababisha wanafunzi kusoma chini ya mti
1) Tunaomba wafadhili wa kuweza kusomesha wanafunzi kwa maana ya kuwalipia ada kwani wazazi hawawalipii ada watoto wao na kusababisha otoro na mimba kila mwaka
2) Wafadhili wa kujenga madarasa ili kusaidia wanafunzi kuwa katika eneo zuri la kusoma
3) Wafadhili wa kuwajengea jiko na bwalo ili kuwepo na eneo maalum la kulia haswa wakati wa mvua wanapata shida sana
4) Wafadhili wa kutujengea hostel ili kutusaidia kuwaweka wanafunzi katika usalama lakini pia kuwapunguzia mwendo wa kutembea kwani kwa sasa wanatembea kati ya kilomita 3 mpaka 9 kuja shule
4) Wafadhili wa kutujengea hostel ili kutusaidia kuwaweka wanafunzi katika usalama lakini pia kuwapunguzia mwendo wa kutembea kwani kwa sasa wanatembea kati ya kilomita 3 mpaka 9 kuja shule
![]() |
hao ni wanafunzi wakiwa wanasoma nnje |
hili ndio jiko la shule |
hilo ni jengo lilijengwa kwa msaada wa serikali ya Tanzania chini ya TASAF vyumba ni 3 tu na kimoja kati yake ndio ofisi ya walim kwa hiyo vimebaki viwili na wanafunzi wapo mpaka kidato cha nne |
![]() | ||||
wakiwa kwenye kipindi |
ummieyy2@yahoo.ca
au minzagambula@gmail.com
mnakaribishwa kutoa mchango wenu hii ni kwa dunia nzima
SAMBAZA UPENDO
MPE ELIMU AELEWE NA SIO PESA ATATUMIA NA KUZIMALIZA NA KURUDIA TENA KUOMBA
PAMOJA TUKISHIRIKIANA TUTAWEZA
No comments:
Post a Comment