utafiti uliofanyika hivi karibuni unaonesha kuwa mazoezi anayoyafanya mama akiwa mja mzito yanamsaidia mtoto kuwa active na pia kuwa na akili ( higher brighter )
utafiti huo kutoka kwa Professor Ellemberg kutoka Montreal University huko Canada unasema hata sekunde 20 za kutembea kila siku kwa wiki yanatosha kwa mama mjamzito kufanya mazoezi na pia kuongeza hiyo brain activity na hivyo kujifungua mtoto mwenye hiyo
katika uatfiti huo waliwachukua wamama wanaofanya mazoezi kwa kuwapima watoto wakiwa tumboni na kugundua watoto wao waliweza kugundua unique sounds kulinganisha wamama ambao hawafanyi mazoezi
mazoezi yenyewe ni kama vile kutembea wakati wa jion, kuendesha baiskel, kukimbia na kuogelea
hivyo basi kwa uchunguzi huo inaonesha mazoezi yanaongeza kazi katika ubongo wa mtoto
haya kwa wale tunopenda kuzaa ma genius msaada ndio kama huo
fanya mazoezi ukiwa na ujauzito ujifungue genius wako
anza sasa
ILAN: KATIKA MAZOEZI YAKO ANGALIA HAUMUUMIZI MTOTO WALA WEWE MWENYEWE.