hao ni wake wenza Winnie na Graca Mandela wakibembelezana |
watu mashughuli mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho namuona rais wangu JK from TANZANIA |
mwili wa marehem kwente jeneza |
kila la heri huko uendako MADIBA
TUTAKUKUMBUKA NA KUKUENZI KWA MEMA YAKO
MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
AMINA
No comments:
Post a Comment