Friday, October 18, 2013

maonesho mengine!!!!!!!!!!!!!!!!!

hayo ni maonesho ya maiti( halloween corpse display)
 mhhhhhhhhhhh
 jamani hata sijui ndio ubunifu au nini
   na kuna watu wanaenda kushuhudia???
   polise waliwaagiza wayachane
hata mie nawasupport hao polisi kwa hili

No comments:

Post a Comment