Tuesday, October 29, 2013

Hongera mama Harper

Victoria Beckham ametajwa katika Tunzo mbili kuu  British Fashions Awards ambazo ni Brand of the year na brand Desgner who creat Brands awareness
 kumbuka mwana mama huyo anashindana na watu mashuhuri kama
 Burberry, McQueen, WOW na Antonio Berardi
           kila la heri mama ake Harper
  hope to see with Awards
 all of them

No comments:

Post a Comment