Tuesday, November 12, 2013

HABARI NJEMA KWA WAZAZI!!!!!!!!

utafiti uliofanyika hivi karibuni unaonesha kuwa mazoezi anayoyafanya mama akiwa mja mzito yanamsaidia mtoto kuwa active na pia kuwa na akili ( higher brighter )
    utafiti huo kutoka kwa Professor Ellemberg kutoka Montreal University huko Canada unasema hata sekunde 20 za kutembea kila siku  kwa wiki yanatosha kwa mama mjamzito kufanya mazoezi na pia kuongeza hiyo brain activity na hivyo kujifungua mtoto mwenye hiyo
   katika uatfiti huo waliwachukua wamama wanaofanya mazoezi kwa kuwapima watoto wakiwa tumboni na kugundua watoto wao waliweza kugundua unique sounds kulinganisha wamama ambao hawafanyi mazoezi
   mazoezi yenyewe ni kama vile kutembea wakati wa jion, kuendesha baiskel, kukimbia na kuogelea

  hivyo basi kwa uchunguzi huo inaonesha mazoezi yanaongeza kazi katika ubongo wa mtoto
        haya kwa wale tunopenda kuzaa ma genius msaada ndio kama huo
                    fanya mazoezi ukiwa na ujauzito ujifungue genius wako
                               anza sasa
  ILAN: KATIKA MAZOEZI YAKO ANGALIA HAUMUUMIZI MTOTO WALA WEWE MWENYEWE.

No comments:

Post a Comment