Minzah
mother and child
Sunday, November 3, 2013
HAPPY BIRTHDAY DAVID!!!!!!!!!!!!!!!
David
David akikata keki
David akiwa na familia yake na mimi pembeni
namtakia kila heri mtoto wangu David
mtoto wa my Best Friend Hellena
kwa kutimiza mwaka mmoja sasa
Mungu amuongoze kwa kila jambo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment