Katika graduation yenu ya kuhitim masomo yenu
nikitake selfie na wanafunzi wa kike wa kiislam katka graduation yao |
nikiwa katikati ya baadhi ya wanafunzi watahiniwa wa NECTA 2014 |
nikitake selfie na wanafunzi wa kike wa kiislam katka graduation yao |
nikiwa katikati ya baadhi ya wanafunzi watahiniwa wa NECTA 2014 |
Napenda kuchukua nafasi hii kumtakia Raisi wetu mpendwa wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete siku njema ya kuzaliwa na namuombea kwa Mwenyez Mungu amzidishie maisha marefu yenye heri na baraka nyingi awe mwenye furaha siku zote kama alivyo sasa na ampe Moyo wa subira kama aliokuwa nao kwani kuongoza wanadamu ni shiiiidah jamani lakin yy amelimudu
Rais wangu mpendwa Minzah blog inakutakia mafanikio mema kwenye kila ulilopanga kwa maendeleo yako binafsi pia maendeleo ya taifa hili
INSHAALLAH! MWENYEZ MUNGU AKUONGOZE
HAPPY BORN DAY PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE
Leo ni siku muhm sana kwako kwani siku kama ya Leo ulizaliwa. Minzahblog inakutakia maisha mema na yenye baraka tele.
HAPPY BIRTHDAY WEMA!
Hebu tuchek instagram ilichafukaje kuhusu wema. Jaman kiukweli wema anapendwa saaaana.
Kila la heri teamwema
hao ni wanafunzi wakiwa wanasoma nnje |
hili ndio jiko la shule |
hilo ni jengo lilijengwa kwa msaada wa serikali ya Tanzania chini ya TASAF vyumba ni 3 tu na kimoja kati yake ndio ofisi ya walim kwa hiyo vimebaki viwili na wanafunzi wapo mpaka kidato cha nne |
wakiwa kwenye kipindi |
Tulikupenda sana ila Mola alikupenda zaidi. Pole ndugu na jamaa na watu wote wa fashion dunian.
Mbele yetu nyuma yako
Kalale Pema Peponi
AMINA
Pichani ni baba na watoto wake.jana jion baba aliandaa party ya kuiaga familia yake kwani yeye anafanyakazi UN. Akiwa njian anarud na familia yake alikutana na vijana wa bodaboda maarufu Toyo wakimtaka asimame baba huyu hakusimama na badala yake aliongeza mwendo hao vijana kwenye toyo walianza kurusha risasi ila huyu baba hakusimama walivyofika mbali ndio baba anaona mwanae mwenye umri wa miaka 4 anatoka damu machoni kumwangalia akagundua alipigwa risasi ya kichwani alijitahid kumwahisha Mount Meru hospitali lakin mtoto alifariki
Jamani naomba nijulishwe Arusha kuna mpango gani na hii nchi yetu. Maaana imepitiliza yaan its toooooo much.haaa!
Kila tukio la mauaji ni mkoa huu kwani kuna nini?
Au hao wauwaji wa kukodi Arusha wanapatikana kwa bei nafuu kuliko mikoa mingine?
Jamani kama sio Tanzania vile maana kila kukicha Arusha ni sheeeedah.
Masikini baba wa watu mwenyewe kaandaa party ya kuiaga familia yake kumbe anamuaga binti yake bila kujua.
Jaman sio kila mama anastahil kusherehekea hii siku ndio maana nikasema proudly mothers maana wengne wanaficha kama wana watoto wengne wamewauwa watoto wao.
Naomba mfaham kuwa sio kila mwanamke anaweza kuwa mama so kama wewe umependelewa na Mungu kuwa miongon mwao be proud of it.
Mi napenda kuwapongeza wamama wote wanaojivunia kuwa mama licha ya kuwa wamewalea watoto peke yao
Au waliokuwepo kwenye ndoa
Au waliolea wazazi wawil
You are the best mothers in the world
The great thing to your child
No matter what happen you were there for them
To rise them
To encourage
To comfort
To strengthen
HAPPY MOTHERS'S DAY
Nawatakia heri ya siku ya muungano watanzania wenzangu wote. Mungu atusaidie muungano wetu uendelee kwa amani kama tulivyoishi miaka 50 iliyopita
HAPPY MUUNGANO DAY
TANZANIA
NAKUPENDA NCHI YANGU