Sunday, October 26, 2014

Hongereni kidato cha nne 2014

Mungu awatangulie wanafunzi wote wa kidato cha nne Lerai sekondari
Katika graduation yenu ya kuhitim masomo yenu
nikitake selfie na wanafunzi wa kike wa kiislam katka graduation yao
nikiwa katikati ya baadhi ya wanafunzi watahiniwa wa NECTA 2014

No comments:

Post a Comment