Tuesday, October 7, 2014

HAPPY BIRTHDAY OUR PRESDAA J.KIKWETE

Napenda kuchukua nafasi hii kumtakia Raisi wetu mpendwa wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete siku njema ya kuzaliwa na namuombea kwa Mwenyez Mungu amzidishie maisha marefu yenye heri na baraka nyingi awe mwenye furaha siku zote kama alivyo sasa na ampe Moyo wa subira kama aliokuwa nao kwani kuongoza wanadamu ni shiiiidah jamani lakin yy amelimudu
Rais wangu mpendwa Minzah blog inakutakia mafanikio mema kwenye kila ulilopanga kwa maendeleo yako binafsi pia maendeleo ya taifa hili
INSHAALLAH! MWENYEZ MUNGU AKUONGOZE
HAPPY BORN DAY PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE

No comments:

Post a Comment