Saturday, November 18, 2017

Msaada Msaada

Shule inaomba Msaada wa kujengewa miundo mbinu mbalimbali madarasa, jengo la utawala kisima cha maji

Tuesday, November 14, 2017

900 tuu itapendeza

Yaani Kama kuna kiki iliyofunga mwaka 2017 Ni Dr Louis na Nyumba za lugumi katika tukio la mnada wa Nyumba za lugumi ambapo zilipigwa Mnada wa hazara kwa deni analodaiwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
Dr Louis aliweza kushinda mnada huo wa nyumba tatu zoote na alipotakiwa kulipia 25% ya hela ya nyumba zote ndipo shida ilipoanza baada ya kugundulika  Kuwa hakuwa na hela yoyote ya kulipia

This too shall pass-- Lulu wetu

Dah sijawah kujisikia vibaya kwa yanayowatokea watu maarufu chini au duniani 
Lakini Hii ya hukumu ya Lulu kwakweli imenitoa machozi
Pole dia mungu atakupitisha katika hilo na amekuwa kuwa utaliweza
Kumbuka
MUNGU HAKUPI KILEMA AKAKUKOSESHA MWENDO.

Msanii Elizabeth Michael (Lulu) amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa Kosa la kuua bila kukusudia. Kitendo kilichofanyika mwaka 2012 dhidi ya Msanii mwenzake Steven kanumba  tukio lililofanyika Nyumban kwa Msanii huyo wa kiume ambaye ni marehemu kwa sasa