Tuesday, November 14, 2017

This too shall pass-- Lulu wetu

Dah sijawah kujisikia vibaya kwa yanayowatokea watu maarufu chini au duniani 
Lakini Hii ya hukumu ya Lulu kwakweli imenitoa machozi
Pole dia mungu atakupitisha katika hilo na amekuwa kuwa utaliweza
Kumbuka
MUNGU HAKUPI KILEMA AKAKUKOSESHA MWENDO.

Msanii Elizabeth Michael (Lulu) amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa Kosa la kuua bila kukusudia. Kitendo kilichofanyika mwaka 2012 dhidi ya Msanii mwenzake Steven kanumba  tukio lililofanyika Nyumban kwa Msanii huyo wa kiume ambaye ni marehemu kwa sasa

No comments:

Post a Comment