Yaani Kama kuna kiki iliyofunga mwaka 2017 Ni Dr Louis na Nyumba za lugumi katika tukio la mnada wa Nyumba za lugumi ambapo zilipigwa Mnada wa hazara kwa deni analodaiwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
Dr Louis aliweza kushinda mnada huo wa nyumba tatu zoote na alipotakiwa kulipia 25% ya hela ya nyumba zote ndipo shida ilipoanza baada ya kugundulika Kuwa hakuwa na hela yoyote ya kulipia
No comments:
Post a Comment