huyo ni mh Joshua S. Nasari mbuge wa Meru akichangia damu kwa ajiri ya majeruhi |
![]() |
huyo ni majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza |
![]() |
hapo ni eneo mlipuko ulipotokea na maaskari wakifanya kazi yao |
POLENI WOTE MLIPATWA NA MKASA HUO MUNGU AWAPONYE MAPEMA
-- AMEN --
No comments:
Post a Comment