Tuesday, May 21, 2013

MUNGU ATUNUSURU JAMANI

mabaki eneo lililokuwa hiyo shule
walim wakiwatoa wanafunzi eneo lililopatwa na ajari
Mwalim akimkumbatia mwanafunzi baada ya kuokuka kakitka shule ya Briarwood elementary huko Oklahoma
Mambo mengine uyaone kwenye tv tu kama movie
   POLENI WOOTE MLIOATHIRIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE

No comments:

Post a Comment