polisi wilayani Tarime imemuua mtoto DEO YAKOB miaka 9 mkazi wa tarime wakiwa katika pilikapilika za kukamata majambazi wanaua na kuiba katika mpaka wa Kenya na Tanzania. bado haijafahamika ilikuwaje mpaka mtoto kapigwa na pia haijafahamika kama hao Majambazi wamepatikana au la.
R.I.P DEO
No comments:
Post a Comment