Saturday, April 11, 2015

Hongera Hamisa kidomo

Kuwa mama ni kazi ya milele haina likizo, sikukuu, malipo, malupulupu lakini ina raha yake jamani
   Wangapi wanaitamani hii hali lakini hawajaipata
Wangapi wametumia hela zao lakini hawajafanikiwa?
Wangapi wameenda kwa waganga na bado hawajampata?
Kuwa mama ni faraja sana. Mpende mama yako kadri uwezavyo
  Hongereni wote mlioamua kuwa mama na mko tayar kuwatunza watoto wenu kwa hali na Mali
Hongera Hamisa pamoja na kuwa maarufu hukuonekana gazet lolote wala kutolewa sifa yoyote
I wish mastaa wengne wangekuwa kama wewe though wapo pia waliofanya hivyo
BE PROUD OF YOURSELF

No comments:

Post a Comment