Madereva wa mabasi ya mikoani wamegoma kufanya safari zao za kuelekea mikoa mbakimbali nchini na nje ya nchi
Hii imeleta shida kwa wasafiri kwani wameenda kwa ajili ya kusafiri badala yake wamekutana na mgomo huo
Poleni ndugu zangu haya ni mambo ya kawaida haswaa wakat wa karibu wa uchaguzi mkuu
Serikali tunawaomba mkae nao vizuri na mmalizane nao mapema ili huduma irudi mapema maana mambo mengi yanasimama kwa kutokana na mgomo na ukizingatia weng wetu hatunauwezo wa kupanda ndege.
No comments:
Post a Comment