Friday, June 28, 2013

eeee Mungu

sijui kama wakati mwengine binadamu huwa tunafikiria nini
hivi kweli binadam alieumbwa na mwenyezi mungu
anaweza kuwaza uuaji kama huu
 jamani wanawake ambao tumeshazaa namaanisha wenye watoto
tunapopata wapenzi wapya ambao sio baba wa mtoto ulienae naye
tuwe makini na hao wanaume na wanaume pia kuwa makini na wanawake ambao hawakuzaa nao wanapokuwa na watoto
 hizi kesi za mauaji ya watoto wa kambo zimezidi sana



   masikini mtoto huyu amebakwa na kupigwa na BABA YAKE WA KAMBO mpaka ameaga dunia
maskini mtoto mdoogo wa miaka minne (4) tu huyu nae ananini mpaka huyo baba akamuone yupo sawa na mama yake
      rest in peace mtoto mzuri  Mungu atakulipia haki yako japo hautokuwepo

Tuesday, June 25, 2013

hakuna haki ya haya maumbile??????????????????

hata sielewi kwa nini haya maumbile huwa hayatendewi haki  na binadamu waliowengi humu duniani au vyenyewe sio sehemu ya utupu wa binadamu maana  mmmmmmmmmmmmhhh
ikipita siku hujayaona hayo makalio ya mtu mwingine ujue bado hujapanda daladala haswwwa za jijini DAR ES SALAAAM
au ndio mambo ya mujini hayooooooooooooooooooooo?

hakuna linaloshindikana

kutokana na taabu za usafiri wananchi hawa
waliamua kubuni huu usafiri wao
nazani unaelewa nini maana ya AMBULANCE
ndio hivyo tena
hii ndio nchi yetu
na haya ndio maisha yetu
wageni karibuni

Monday, June 24, 2013

weekend yetu

week end yangu na my bestbest friend ever ilikuwa hivi
  tuliamua kuwatia watoto wetu OUT ili ku enjoy si unajua tena
watoto husahaulikaga
  sooooooooooooo sie tumewatoa
ilikuwa ndani ya Milleniun Bagamoyo
huko ndio kwetu






baba na mtoto wake tuliwakuta hukohuko millenium


mi na my best Holo




hawa ndio watoto wetu  huyo wa kiume ni cesare mtoto my best na wa kike ni minza wa kwangu

Tuesday, June 18, 2013

MH watoto wa UNCLE LUNDEGA HAOO

Mamis changómbe watoa kali ya mwaka
pale walipoingia stejini na pikipiki ya TOYO
wakiwa wanaingia ukumbini
wakiwa wanashuka kwenye TOYO
Mshindi Nalietha  Boniface    wapili Naima Ramadhani  na wa tatu  Mutesi George
nimeshindwa kuelewa kuwa ni wazamini hao TOYO au ni mbwembwe za mwalim wao wa shoo
 but anyways ni jambo nzuri tu

tujikumbushe mtoto wa AFRICA at Macpippo Zanzibar

jukwaa kabra ya tukio

keki yenye ramani ya afrika

wakiwa wanaimba

wadau husika wa siku yenyewe

wazazi wakiwaangalia watoto wao

watoto wakiwa wanaimba

Sunday, June 16, 2013

TANZANIA GOOOOOOOOOOOOOO

kila la heri timu yetu ya TAIFA"TAIFA STARS"

jamani sijui ni nini

sometime nashindwa kabisa kuingia kwenye blog yangu
 hata sijaelewa kama ni virus au mkono wa mtu
  sijui kama hata hii post itasomwa pia
       ngoja nijaribu

Tuesday, June 11, 2013

happy birthday my lovely daughter MINZA

Leo ni siku muhimu kwa binti yangu wa pekee
tarehe kama ya leo mwaka wa jana 2012
nilimkaribisha duniani
    soooooooooooooooooooooooooo
 Leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake
  HONGERA MWANANGU MPENDWA
          MINZA
Namkuombea kwa MUNGU akujaalie MAISHA marefu yenye  BARAKA
na MAFANIKIO  tele katika safari yako ya duniani hapa
         HAPPY  BIRTHDAY  
                 MINZA