tuliamua kuwatia watoto wetu OUT ili ku enjoy si unajua tena
watoto husahaulikaga
sooooooooooooo sie tumewatoa
ilikuwa ndani ya Milleniun Bagamoyo
huko ndio kwetu
baba na mtoto wake tuliwakuta hukohuko millenium |
mi na my best Holo |
hawa ndio watoto wetu huyo wa kiume ni cesare mtoto my best na wa kike ni minza wa kwangu |
No comments:
Post a Comment