sijui kama wakati mwengine binadamu huwa tunafikiria nini
hivi kweli binadam alieumbwa na mwenyezi mungu
anaweza kuwaza uuaji kama huu
jamani wanawake ambao tumeshazaa namaanisha wenye watoto
tunapopata wapenzi wapya ambao sio baba wa mtoto ulienae naye
tuwe makini na hao wanaume na wanaume pia kuwa makini na wanawake ambao hawakuzaa nao wanapokuwa na watoto
hizi kesi za mauaji ya watoto wa kambo zimezidi sana
masikini mtoto huyu amebakwa na kupigwa na BABA YAKE WA KAMBO mpaka ameaga dunia
maskini mtoto mdoogo wa miaka minne (4) tu huyu nae ananini mpaka huyo baba akamuone yupo sawa na mama yake
rest in peace mtoto mzuri Mungu atakulipia haki yako japo hautokuwepo
No comments:
Post a Comment