Leo ni siku muhimu kwa binti yangu wa pekee
tarehe kama ya leo mwaka wa jana 2012
nilimkaribisha duniani
soooooooooooooooooooooooooo
Leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake
HONGERA MWANANGU MPENDWA
MINZA
Namkuombea kwa MUNGU akujaalie MAISHA marefu yenye BARAKA
na MAFANIKIO tele katika safari yako ya duniani hapa
HAPPY BIRTHDAY
MINZA
No comments:
Post a Comment