Thursday, September 19, 2013

MISS MUSLIMAH WORLD!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sikuwa najua kama kuna mashindano kama haya duniani!
    aisee kumbe kuna mashindano ya warembo waislam
             daah nimeipenda hiii saaaaaana
               hope Tanzania tutaanza kujipanga
hebu tumcheki wa mwaka huu 2013
miss muslimsh world 2013 Obabiyi Aishah  Ajibola kutoka Nigeria
mnigeria huyo amepokea taji hilo kutoka kwa muindonesia
bibi akivishwa taji na mshindi aliyemaliza muda wake
mashindano hayo yanafanyika kwa mara ya tatu sasa  na yanawahusu wanawake wakiislam tu na vigezo ni pamoja na muonekano katika vazi la kiislam, kuifahamu dini ya kiislam na kuijua QurĂ¡n kwa ufasaha
       mashindano pia yapo chini ya miss world
 soooooooooooooooooooooooo warembo wa kiislam mjipange

Monday, September 16, 2013

wonder shall never end

Hee! kumbe sio bongo tu hata na huko mna hayo?
mi nilizani bongo aliposhinda Richa Adhia watu wakamind ni hapa tu
ona haya
America wamemindije kushinda muhindi katika nchi yao!!!!!!!!!
    Kha! wonders shall never end!
kwani origin ya america ni nani? jamani sasa cha ajabu ni nini wote wageni.

Nina Davuluri akivalishwa taji la Miss New York
  hata siamini kama na wao wanamambo ya ajabu kama haya.
haya zione hizi comment

na hawa ndio wakaenda mbali zaidi
mmmh mi sina mengi jamani kuna wanyama wengine hawatajwi ukiwataja tu inabidi ufunge mlango

Saturday, September 14, 2013

poleni watu wa colorado

jamani hayo ni maji mpaka nyumba hainekani!
      inanikumbusha 2011 Dar
             ingawa naona hii kama imezidi!

Wednesday, September 11, 2013

september 11


special for darasa la saba(LY)

this is my heartly wishes to you all darasa la saba 2013
      to you my lovely daughter Nurrath(Baby)
               

Tuesday, September 10, 2013

habari ya mujini

jamani tweeter yote imejaa habari ya iphone5
  
mpaka na bei hiyo hapo-
haya kazi kwenu Nokia,Blackberry na wengineo
haya nokia watupia hayo kwenye tweeter yao

hii ni kareeee

     hivi hapo utachagua nini?
 hiyo nimetoa tweeter nimeona niwajuze ndugu zangu!!!!!!!!!!!1
 imagine unakutana nayo live!!
      hivi utafanyaje??

Monday, September 9, 2013

Harper aenda kumuona mama kazini

David Beckham akiwa na mwanae Harper katika maonesho ya fashion ya Victoria secret New York Fashion Week (NYFW)
   nazani mtoto anaoneshwa chochoro za mama yake mapema labda anaweza kuzipenda na kuzifuata
                      who knows?
   haya sio mbaya abiria(Beckham)  kuchunga mzigo(Victoria) wake

Wednesday, September 4, 2013

Tuesday, September 3, 2013

mother and child

me and my Minza
Beyonce na Ivy Blue
victoria na Harper Beckam
jamani sio mbaya kutoka na mwanao unapopata muda ili na yeye ajue kama ana mama. mzazi upo busy muda wote.

MAMA AUZA BIKIRA YA MWANAE

mama mmoja huko india aiuza bukira ya mwanae kwa rupee(100000 sawa na dola 1550) utabadilisha mwenyewe kujua ni Tsh ngapi jamani sijui currently currency.
 mama huyo ambaye alijifanya kama aunt  wa mtoto huyo baada ya kuingia kwenye mtego wa kuuza bikira hiyo ya mtoto wake mwenyewe
   mweeee! sijui ni umasikini, shida au tamaa. mama huyo alikuwa akimfundisha bint yake kwenda kwa wanaume.
  bint mwenyewe ni mdogo anamiaka 13 tu.  sipati picha huyo mama yakwake mwenyewe aliiuza shiling ngapi na aliiuza akiwa anaumri gani
   mh jamani hizi shida haziishagi cha muhimu ni kusema nazo. sasa mama yupo jela na amearibu jina la familia yake pia
 utafiti unaonesha huko india hizi kesi ni nying sana