Thursday, September 19, 2013

MISS MUSLIMAH WORLD!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sikuwa najua kama kuna mashindano kama haya duniani!
    aisee kumbe kuna mashindano ya warembo waislam
             daah nimeipenda hiii saaaaaana
               hope Tanzania tutaanza kujipanga
hebu tumcheki wa mwaka huu 2013
miss muslimsh world 2013 Obabiyi Aishah  Ajibola kutoka Nigeria
mnigeria huyo amepokea taji hilo kutoka kwa muindonesia
bibi akivishwa taji na mshindi aliyemaliza muda wake
mashindano hayo yanafanyika kwa mara ya tatu sasa  na yanawahusu wanawake wakiislam tu na vigezo ni pamoja na muonekano katika vazi la kiislam, kuifahamu dini ya kiislam na kuijua Qurán kwa ufasaha
       mashindano pia yapo chini ya miss world
 soooooooooooooooooooooooo warembo wa kiislam mjipange

No comments:

Post a Comment