Tuesday, September 3, 2013

MAMA AUZA BIKIRA YA MWANAE

mama mmoja huko india aiuza bukira ya mwanae kwa rupee(100000 sawa na dola 1550) utabadilisha mwenyewe kujua ni Tsh ngapi jamani sijui currently currency.
 mama huyo ambaye alijifanya kama aunt  wa mtoto huyo baada ya kuingia kwenye mtego wa kuuza bikira hiyo ya mtoto wake mwenyewe
   mweeee! sijui ni umasikini, shida au tamaa. mama huyo alikuwa akimfundisha bint yake kwenda kwa wanaume.
  bint mwenyewe ni mdogo anamiaka 13 tu.  sipati picha huyo mama yakwake mwenyewe aliiuza shiling ngapi na aliiuza akiwa anaumri gani
   mh jamani hizi shida haziishagi cha muhimu ni kusema nazo. sasa mama yupo jela na amearibu jina la familia yake pia
 utafiti unaonesha huko india hizi kesi ni nying sana

No comments:

Post a Comment