Monday, September 16, 2013

wonder shall never end

Hee! kumbe sio bongo tu hata na huko mna hayo?
mi nilizani bongo aliposhinda Richa Adhia watu wakamind ni hapa tu
ona haya
America wamemindije kushinda muhindi katika nchi yao!!!!!!!!!
    Kha! wonders shall never end!
kwani origin ya america ni nani? jamani sasa cha ajabu ni nini wote wageni.

Nina Davuluri akivalishwa taji la Miss New York
  hata siamini kama na wao wanamambo ya ajabu kama haya.
haya zione hizi comment

na hawa ndio wakaenda mbali zaidi
mmmh mi sina mengi jamani kuna wanyama wengine hawatajwi ukiwataja tu inabidi ufunge mlango

No comments:

Post a Comment