Tuesday, August 27, 2013

walipendana kiukweli

Ruth89 na mumewe Harold91
hao si wengine bali ni Harold na Ruth Knapke   waliopendana kiukweli hata kufaliki katika siku moja
    wapenzi hao waliokutana shule waliokuwa wakisoma huko ohio na kuanzisha uhusiano  mnamo, mwaka 1945 wakafunga ndoa na kubalikiwa watoto sita wapenzi hao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 66
 wapenzi hao walifariki tarehe 11august 2013 alienza kuumwa alikuwa bibie Ruth   baada ya hali kuwa mbaya mume alipopewa habari naye akaanza kuumwa na mume ndie aliyetangulia kufariki mnamo saa 1 na dakika 30 asubuh na  mke alifariki saa 12 na dakika 30 jioni ndani ya siku moja
     MUNGU azilaze roho zao mahali pema peponi
    

my favourite white dresses

girls the big day is very special day so choose what fits you and make you comfortable

Sunday, August 25, 2013

Hatimaye tumeoneshwa mrembo wa Kim and Kanye

Northwest
huyo ndio mrembo aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu na watu wengi ulimwenguni baada ya kufichwa na wazazi wake kwa muda hatimaye aonekana
      congrat Kim and Kanye for such cutie baby girl

Tuesday, August 13, 2013

makubwa!


mama(Jaleesa) akiwa na mwanae(Messiah) aliyeleta mzozo

jaji atoa mpya pale alipowataka wazazi wabadilishe jina la mtoto wa kutoka Messiah na aitwe Martin kisa aliyestahili jina la Messiah ni mmoja duniani ambaye ni YESU
   Hayo yalitokea wakati wazazi hao walipokuwa wanavutana mtoto achukue ubin(surname) wa nani kati ya mama au baba na kuamua kwenda mahakamani ili jaji aamue upande upi ushinde kinyume na matarajio yao jaji akawaambia kwanza wabadilishe jina la mwanzo la mtoto ndio wafatilie surname kitu kilichowashangaza wazazi hao
      yote kali ni pale ambapo jaji alipopendekeza jina la Martin!
   mhhhhhhhhhh hapo tena jaji alipitiliza

Friday, August 9, 2013

hii sasa ni kaliiiiiiiii

jamaa mmoja amejikuta akishtakiwa kwa mara 45!  duh sipati picha alivyokuwa mvoefu na hiyo polisi pamoja na mahakama
      mara zote hizo atakuwa anasehemu yake special ya kukaa, kulala na hata kula. hahisi atakuwa ameweka rekodi ya kushtakiwa mara nyingi zaidi dunian
            
dah hiii ni kali hata mwenyewe Mr John Burch anacheka kuona amefikia hiyo idadi zaidi ya mara 45!
   hii ni kareeeeeeeee ya mwaka

pole OPRAH

Sijui ni makusudi ya muuzaji ili apate umaarufu au kutokumjua  OPRAH WINFREY ni nani humu ulimwenguni, maskini Oprah alienda dukani akpenda hand beg alipoulizia bei akaambiwa hiyo pochi ni yabei sana hatoweza kuinunua!
               mh hivi hiyo handbag ya bei mpaka OPRAH  ashindwe kuinunua ni bei gani jamani
huo ni ushahidi wa oprah na maelezo yake pamoja na bei ya hiyo pochi
cha kushangaza sio mara ya kwanza kwake.
        jamani wafanyabiashara muwe na kauli nzuri kwa wateja we unajuaje mfuko wa mtu una shiling ngapi? we mtajie bei kama itamshinda ni yeye mwenyewe

eid mubaraka from me



tusherekee sikukuu yetu kwa amani na utulivu
 pamoja na kuwakumbuka maskini
       EID MUBARAKA

Thursday, August 8, 2013

EID MUBARARAK

NAPENDA KUWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA EID
   NA PIA KUWAOMBA WAISLAM WENZANGU TUENDELEE NA FUNGA YA SITA 
 INGAWA NI SUNNA INA KHERI ZAKE KWA  ALLAH (S.W) .
          na kwale walionitakia eid mubarak napenda kuwajibu-  MINAL FAIDHINA

happy NANENANE

hizo ni korosho
nawatakia sikukuu njema ya ya nanenane kwa kukumbuka kilimo na ufugaji katika nchi yetu

Thursday, August 1, 2013

AJARI ZA BARABARANI NA MASTAA WETU

hebu tuangalie jinsi gani ajari za barabarani zimetumalizia mastaa wetu wa kitanzania
kutoka tasnia mbalimbali
huyo ni Mbaraka Mwinshehe alipata ajari njia panda ya kisauni nchini Kenya
huyo ni James Dandu aka MTOTO WA DANDU alipata ajari jijini Dar es salaam
huyo ni sharo milionea alipata ajari barabara ya handeni
huyo ni complex alipata ajari akiwa eneo la mbwewe wakielekea ukweni Arusha
na huyo ni Patrick Mafisango raia wa rwanda aliyekuwa akiichezea timu ya simba alipata ajari jijini Dar es salaam
         Cha muhimu ni kuwakumbuka watu hawa na kila mmoja awapo barabarani kuwa makini kuanzia dereva wa gari, bajaji, pikipiki na baskeli pia watwmbeao kwa miguu
                 KUMBUKA
               AJARI ZA BARABARANI ZINAZUHIRIKA
  KUWA MAKINI UWAPO BARABARANI