Thursday, August 1, 2013

AJARI ZA BARABARANI NA MASTAA WETU

hebu tuangalie jinsi gani ajari za barabarani zimetumalizia mastaa wetu wa kitanzania
kutoka tasnia mbalimbali
huyo ni Mbaraka Mwinshehe alipata ajari njia panda ya kisauni nchini Kenya
huyo ni James Dandu aka MTOTO WA DANDU alipata ajari jijini Dar es salaam
huyo ni sharo milionea alipata ajari barabara ya handeni
huyo ni complex alipata ajari akiwa eneo la mbwewe wakielekea ukweni Arusha
na huyo ni Patrick Mafisango raia wa rwanda aliyekuwa akiichezea timu ya simba alipata ajari jijini Dar es salaam
         Cha muhimu ni kuwakumbuka watu hawa na kila mmoja awapo barabarani kuwa makini kuanzia dereva wa gari, bajaji, pikipiki na baskeli pia watwmbeao kwa miguu
                 KUMBUKA
               AJARI ZA BARABARANI ZINAZUHIRIKA
  KUWA MAKINI UWAPO BARABARANI

No comments:

Post a Comment