Friday, August 9, 2013

pole OPRAH

Sijui ni makusudi ya muuzaji ili apate umaarufu au kutokumjua  OPRAH WINFREY ni nani humu ulimwenguni, maskini Oprah alienda dukani akpenda hand beg alipoulizia bei akaambiwa hiyo pochi ni yabei sana hatoweza kuinunua!
               mh hivi hiyo handbag ya bei mpaka OPRAH  ashindwe kuinunua ni bei gani jamani
huo ni ushahidi wa oprah na maelezo yake pamoja na bei ya hiyo pochi
cha kushangaza sio mara ya kwanza kwake.
        jamani wafanyabiashara muwe na kauli nzuri kwa wateja we unajuaje mfuko wa mtu una shiling ngapi? we mtajie bei kama itamshinda ni yeye mwenyewe

No comments:

Post a Comment