Tuesday, August 13, 2013

makubwa!


mama(Jaleesa) akiwa na mwanae(Messiah) aliyeleta mzozo

jaji atoa mpya pale alipowataka wazazi wabadilishe jina la mtoto wa kutoka Messiah na aitwe Martin kisa aliyestahili jina la Messiah ni mmoja duniani ambaye ni YESU
   Hayo yalitokea wakati wazazi hao walipokuwa wanavutana mtoto achukue ubin(surname) wa nani kati ya mama au baba na kuamua kwenda mahakamani ili jaji aamue upande upi ushinde kinyume na matarajio yao jaji akawaambia kwanza wabadilishe jina la mwanzo la mtoto ndio wafatilie surname kitu kilichowashangaza wazazi hao
      yote kali ni pale ambapo jaji alipopendekeza jina la Martin!
   mhhhhhhhhhh hapo tena jaji alipitiliza

No comments:

Post a Comment