Ruth89 na mumewe Harold91 |
wapenzi hao waliokutana shule waliokuwa wakisoma huko ohio na kuanzisha uhusiano mnamo, mwaka 1945 wakafunga ndoa na kubalikiwa watoto sita wapenzi hao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 66
wapenzi hao walifariki tarehe 11august 2013 alienza kuumwa alikuwa bibie Ruth baada ya hali kuwa mbaya mume alipopewa habari naye akaanza kuumwa na mume ndie aliyetangulia kufariki mnamo saa 1 na dakika 30 asubuh na mke alifariki saa 12 na dakika 30 jioni ndani ya siku moja
MUNGU azilaze roho zao mahali pema peponi
No comments:
Post a Comment