Wapiga picha wakesha hospital ya ST MARY huko LONDON wakimsubiri bibie Kate Middleton kwenda kujifungua mtoto anaesubiriwa kwa hamu kubwa na watu wengi
jamani watu kila wakitajiwa siku ya kujifungua hawakauki licha ya kupewa siku sizo
last wiki waliambiwa atajifungua tar 13 july this week wameambiwa ni leo tar 19 july
hebu cheki wanahabari walivyokaa kumngoja
kila mmoja anataka awe wa kwanza kutoa habari hiyo
Royal baby huyo ambaye hajajulikana bado kama ni wa kike au wa kiume
haya mama kila heri katika kazi hiyo ngumu inayoukamilisha uanamke hapo hakuna umalika wala utumwa wote ni sawa tu
haya twamsubirie huyo ROYAL BABY