Friday, July 12, 2013

shujaa MALALA YOUSAFZAI

Unamfaham bint wa Pakistani ambaye ameweza kusimama na kudai haki  ya ELIMU kwa vijana licha ya vitisho alivyofanyiwa huko kwao pamoja na kupigwa risasi kichwani na shingoni alipokuwa anarudi kutoka shule kielekea nyumbani kwao
    MALALA hakutishika hivyo alikusanya watu mbalimbali na kuwaelezea umuhim wa vijana kupata ELIMU na aliuita msimamo wake "call to action"
    sikia maneno aliyosema "this is an opportunity for every young person on the planet to get together and tell the world:  we will get our education, be it at home in school or any place"
MALALA YOUSAFZAI
wasichana wenzie wakimuombea malala apone baada ya kupigwa na risasi na watalbani
   " they thought the bullet will silence me. it just took my fear and made me stronger" aliongezea bint huyo mdogo ambaye  leo ni siku yake ya kuzaliwa na ametimiza miaka 16. katika umri huo mdogo ameweza kupewa tunzo za NOBLE kama kijana mdogo zaidi kupigania haki za vijana wengine katika elimu

No comments:

Post a Comment