ametimiza miaka 4
anafurahije jaman sijui kwa nini watoto wanaipenda birhtday party
Richard na familia yake na wagen |
akipata msosi |
richard na wageni wake waalikwa |
misosi |
hapo ni Richard akikata keki |
Mungu akukuze na kukujaalia maisha mema yenye Baraka tele
No comments:
Post a Comment