Thursday, July 11, 2013

MAAJABU YA MUNGU

Mwanamke mmoja amejifungua mtoto anaefanana na kiumbe wa porini anaejulikana kama NYANI mama huyo aligundua mara baada ya kujifungua mtoto huyo katika hospital ya KARGO  huko NIGERIA  siku ya jumatatu. mtoto alifariki dakika chache baada ya kuzaliwa
eeeh MUNGU utasaidie jamani
        pia pole kwa wazazi wa mtoto huyo

No comments:

Post a Comment